Showing posts with label entertainment. Show all posts
Showing posts with label entertainment. Show all posts

Tuesday, 24 May 2016

MSANII WA KIMATAIFA KUTOKA MAREKANI NE-YO AONYESHA UTOFAUTI WAKE KATI NA YAKE WASANII WA TANZANIA --JIONEE HAPA

Kama ulipitwa na Show ya jembeka festival ya jijini mwanza basi hapa kitomixproduction nimekuletea matukio matatu makubwa yalifuraisha mashabiki

(1)Kilichofanyika kabla ya NE-YO kupanda jukwaani kuanza kuimba...
(2)Diamond na Ney wa mitego walichokifanya kwa pa1
(3)Baraka da prince kuimba wimbo MPYA ya Alikiba na mashabiki kupiga kelele za shwangwe
JIONEE VIDEO HII
Na kwa matukio ya picha Follow me instagram - kitomix_the_one

Wednesday, 17 February 2016

Jionee hapa TOP 5 ya simu za gharama zaidi duniani kwa mwaka 2015/2016

Mtu wangu wa nguvu kama bado hujakutana na list ya zinazotajwa kuwa simu zenye thamani zaidi duniani, mtu wako wa nguvu nimekutana nayo list hiyo, mara nyingi tumezoea kuona na kusikia mtu akinunua simu kwa gharama ya juu huenda ikawa ni kati ya Tsh milioni 1 hadi milioni mbili, ila hii ni TOP 5 ya simu kali na zenye thama duniani

Monday, 8 February 2016

KWA MARA YA KWANZA JIJINI MWANZA LIMEFANYIKA SHINDANO LA (MISS ALBINO MWANZA) NA KUPATIKANA MSHINDI,...JIONEE PICHA HAPA ZAIDI YA 30.

Shindano la miss Albino limefanyika jijini mwanza ili kumpata mwakilishi ambaye atawaiwakilsha mwanza katika shindano la miss Albino Tanzania.

Washiriki wakiingia ukumbi wa Gold Crest   kwa ajili ya kuanza shindano.

Friday, 15 January 2016

GARI Aina ya BMW Anayomiliki Masanja Mkandamizaji Yawa Gumzo...Mwenyewe Awataka TRA Wakaikague Kama Hajalipia Ushuru

Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW yenye plate namba ya jina lake. 

Monday, 5 October 2015

Hili sio basi la abiria, ni nyumba ya kuishi inayotembea… ndani ina kila kitu muhimu..


Maisha popote… inavutia kuona ubunifu na Teknolojia vinatuletea vitu vipyavipya Duniani… Pesa yako ndio inaamua wapi uishi, wapo wenye nazo ambao watavutiwa kuwa na maisha yao ndani ya hii gari ya kifahari !!

Monday, 2 March 2015

AKICHOKISEMA MPOKI KUHUSU MSIBA WA KAPTAIN KOMBA..NA KUHUSU KUIGA SAUTI YAKE.. #RIP John Komba




Mpoki IIMsanii wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki siku ya juzi February 28.

Thursday, 26 February 2015

Msanii Temba Kutoka TMK Wanaume Apandishwa Mahakamani kwa Kutishia Kuua

Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Amani James aka Mh Temba jana amefikishwa katika mahakama ya mwanzo ya Temeke jijini Dar es salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua kwa kisu kutokana na wivu wa mapenzi.

Monday, 16 February 2015

JIONEE HAPA PICHA ZA MWISHO ZA SAFARI YA BABA AKE DULLY SYKES..MZEE EBBY SYKES...VIONGOZI WA SERIKALI NA WASANII WAONYESHA USHIRIKIANO WA KUTOSHA...

.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Jaji mstaafu Joseph Warioba leo Feb 16 wameungana na  wananchi mbalimbali kwenye mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Ebby Sykes ambaye ni baba mzazi wa msanii Dully Sykes.

Friday, 13 February 2015

Hii namuhusu mtoto wa mwigizaji maarufu duniani Jackie Chan..



jackie 
Kitendo cha mtoto wa mwigizaji maarufu China Jackie Chan aitwaye Jaycee Chan kukamatwa na dawa za kulevya nyumbani kwake kilimfedhehesha sana baba yake kutokana na kuwa mtu maarufu ndani ya nchi hiyo na duniani kote.

Thursday, 12 February 2015

Baada ya Waziri Wasira Kupata Aibu ya Suti, Sasa Asalimu Amri Amkimbilia Sheria Ngowi Kuokoa Jahazi, Sasa Mwendo wa Single Button


Baada ya Babu yetu Mh Wasira kuaziriwa na suti mbele ya watu kwa kufunga vifungu vibaya na kuwa gumzo kubwa mtandaoni na watu kumkejeli sana , unaambiwa sasa kaamua kuwakata watu vidomo kuanzia sasa

Monday, 9 February 2015

Utafiti kuhusu watu ambao hufanya zaidi tendo la ndoa

couple2_rgb
Katika hali ya kawaida imezoeleka kuwa tendo la ndoa au mapenzi hufanywa zaidi na vijana kwa sababu miili yao imechangamka na pia ina nguvu kuliko ya watu wazima na afya ya kuhimili tendo hili lakini pia ule mvuto wa mapenzi nao huwa mkubwa miongoni mwa vijana.

Thursday, 22 January 2015

Shindano la Nani Mkali: Jokate na Lulu Michael ...Aya ndio matokeo..

Mwanamitindo  na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini.

Saturday, 9 August 2014

Friday, 8 August 2014

Ukweli kuusu Anti Ezekiel kutoka na dansa wa Diamond Platnumz.

anti ezekielMwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana kuwa anatoka na dansa wa Diamond Platnumz.

Thursday, 7 August 2014

DIAMOND PLATINUM KUTUMBUIZA SIMBA DAY

SUPASTAA wa wimbo wa My Number One, Nasibu Abduli ‘Diamond’ anatarajia kutumbuiza katika tamasha la Simba Day litakalofanyika kesho katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Diamond ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Mdogo Mdogo ataungana na bendi ya Twanga Pepeta kutumbuiza katika tamasha hilo.

Wednesday, 6 August 2014

Linex nae kaweka nia ya kugombea ubunge,kwa kupitia chama hiki.

mjeda 
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars anaitwa Linex Mjeda.

Msichana aliyepigwa na mtoto wa Obama atoa kauli ya kushangaza

 Mtoto wa rais wa kike wa Marekani, Malia Obama mwenye umri wa miaka 16 alimpiga/alimgonga kwa bahati mbaya msichana aliyefahamika kwa jina la Bridget Truskey walipokuwa katika tamasha kubwa la muziki la Lollapalooza nchini Marekani.

Tuesday, 5 August 2014

UKWELI KUHUSU KUACHANA NUH MZIWANDA NA SHILOLE HUU HAPA.


Nuh-MziwandaStori ya Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo.