Showing posts with label sports. Show all posts
Showing posts with label sports. Show all posts

Wednesday, 4 January 2017

Phil Neville amwaga mitusi Valencia

vv
Phil Neville alishindwa kuzuia hisia zake baada ya Valencia kuendelea kupata matokeo mabovu hasa baada ya kufungwa nyumbani magoli 4-1 na kupoteza tena mechi dhidi ya Celta Vigo 1-0 kwenye Copa Del Rey.

Saturday, 5 March 2016

TEGEMEA MABADILIKO 5 MAKUBWA EPL KAMA ITAKUWA NI KATI YA MOURINHO NA GUARDIOLA MSIMU UJAO

Mou-Pep
Upinzani kati ya Mourinho na Guardiola utaendelea

Arsene Wenger amchana Thierry Henry


wenfr
Thierry Henry ni mchezaji mwenye heshima kubwa kwenye historia ya Arsenal, baada ya mechi ya Swansea alitoa maoni yake ambayo mashabiki wa Arsenal lazima watampa support.

ROONEY AONGOZA KATIKA WACHEZAJI NAMBA 10 BORA ZILIZOWAHI KUTOKEA NDANI YA MIAKA 20..JIONEE LIST KAMILI HAPA


Best 10-10
Zinedine Zidane ameshika nafasi ya nne mbele ya Luis Figo na legend wa Juventus Del Piero huku nafasi ya tatu na ya pili ikishikiliwa na Messi pamoja na Ronaldinho.
Hii inatokana na mafanikio waliyojipatia nyota hawa katika kipindi cha miaka 20.

Sunday, 21 February 2016

Hii ndio list ya viwanja 10 vyenye thamani zaidi Afrika, Tanzania je?


Huenda ukawa upo Tanzania lakini hili ukawa hulifahamu mtu wangu, tumezoea kusikia kuwa Tanzania ni nchi ambayo inatambulishwa vivutio vya utalii hususani mlima Kilimanjaro.

Thursday, 4 February 2016

WABUNGE WA SIMBA SC WAMEJUMUIKA NA WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA NJIANI KUELEKEA SHINYANGA.


Simba imesimama kwa muda mjini Dodoma na kuzungumza na baadhi ya wabunge wakiwemo Azzan Zungu, Juma Nkamia na wengine wenye mapenzi na kikosi cha Mnyama.

Wednesday, 3 February 2016

GOLI LA VARDY LAMKUNA KLOPP, ATOBOA ALICHOTAKA KUFANYA



Vardy 3
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp katika hali isiyokuwa ya kawaida ameibukia na kutoa kauli kuwa nusura ampigie  makofi mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy kutokana na goli alilolifunga dhidi ya Liverpool janausiku.

Monday, 25 January 2016

HATIMAYE KATUMBI AAFIKI SAMATTA KWENDA GENK, KIJANA ANATUA DAR KESHO KWA SAFARI YA UBELGIJI KWENDA KUANZA MAISHA MAPYA


HATIMAYE bilionea Moise Katumbi Chapwe, Rais wa klabu ya TP Mazembe ya DRC amekubali mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ajiunge na KRC Genk ya Ligi Kuu ya Ubelgiji. Na Samatta anatarajiwa kurejea Dar es Salaam kesho kwa ajili ya safari ya Ubelgiji kwenda kuanza maisha mapya katika soka ya Ulaya. Samatta tayari amekwishasaini Mkataba wa awali na Genk wa miaka minne na sasa anakwenda kukamilisha taratibu. Samatta na Genk wanataka kukimbizana na muda ili kuwahi kabla ya dirisha dogo la usajili  halijafungwa, angalau mapema Februari Mwanasoka huyo Bora Anayecheza Afrika aanze kucheza Ubelgiji.

 
 

Meneja wa Samatta, Jamal Kisongo amesema kwamba Katumbi ameridhia Samatta aende klabu anayopenda.

Thursday, 21 January 2016

Licha ya kusuasua uwanjani, kumbe Man United bado wako pazuri sana kifedha..liaat hii hapa


Klabu ya Real Madrid imeendelea kushika usukani kwa miaka 11 sasa katika kuingiza kiasi kikubwa cha pesa kupitia mapato yake…kwa msimu wa 2014/15 imeingiza kiasi cha Euro milioni 577.

Sunday, 17 January 2016

HIVI NDIVYO OZIL ALIVYOANGALIA MECHI YA STOKE CITY VS ARSENAL KUPITIA RUNINGA AKIWA HOME

Mesut Ozil anayeongoza kwa pasi zilizozaa mabao Premier League alikuwa nyumbani tu akiishudia timu yake ya Arsenal ikitoka sare ya bila mabao dhidi ya Stoke City.

Thursday, 14 January 2016

Mashabiki wa soka Ujerumani wamempigia kura Ozil na kushinda tuzo hii kwa mara ya nne …

January 14 tovuti ya timu ya taifa ya Ujerumani imetangaza jina la mchezaji bora wa kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani kwa mwaka 2015, tovuti hiyo imetangaza jina hilo la mchezaji bora wa mwaka 2015 baada ya mashabiki 51000 kupiga kura na asilimia 45.9 ya kura hizo kumuangukia Mesut Ozil.

Watakaoathirika kutokana na kufungiwa huko kwa Real Madrid na Atletico Madrid ni hawa wafuatao.


Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limezifungia klabu vigogo wa Real Madrid na Atletico Madrid kufanya usajili wowote hadi wakati wa majira ya koto yaani Julai 2017.

Saturday, 2 January 2016

Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz)


Kama kuna vitu vinayakimbiza maisha kwenye kasi ya ajabu, basi teknolojia nayo imo… uliipata ile ya Lexus iliyotengenezwa kwa mabox, ikafungwa mota alafu ikaingia barabarani na kutembea kama gari tulizozoea?

Sunday, 15 February 2015

Alikua na ndoto za kumiliki gari la kifahari aina ya Lamborghini…akaamua kutengeneza hivi!

lambo
Baada ya kuwa na ndoto za kuendesha gari ya kifahari aina ya Lamborghin huku akiwa hana uwezo wa kununua gari hiyo Yu Jietao raia wa Jiangx,

Friday, 13 February 2015

Mtoto wa miaka sita atoa mpyal, amuomba Mourinho na Diego costs Waiokoe timu yake ya Aston Villa…

Shabiki mwenye umri wa miaka 6 wa Aston Villa akionyesha barua aliyoandika kwa Mourinho akimuomba aje kuiokoa timu yake .
Saa 24 zilizopita zimekuwa ngumu sana kwa mashabiki wa klabu ya Aston Villa ambao wameishuhudia timu yao ikianguka kwenye janga la kushuka daraja baada ya mfululizo wa matokeo mabaya.

Tuesday, 3 February 2015

Cristiano Ronaldo kuuzwa kwa dau hili hapa......



dimpo 
Katika yale yaliyosikika mfululizo kuhusu staa wa soka DUNIANI, Cristiano Ronaldo kuna ishu ya kuachana na mpenzi wake, ipo ya sanamu kubwa kujengwa nyumbani kwao Ureno kama ishara ya kuheshimu anavyoipa sifa nzuri nchi hiyo duniani, lakini pia ana tuzo yake ya Ballon d’Or, mwanasoka bora wa kiume duniani.
Ubora wake unampa thamani kubwa, wakala wake ametangaza dau kubwa kwa klabu yoyote ambayo itakuwa tayari kumnunua staa huyo muda wowote kuanzia sasa.

Monday, 1 September 2014

KWA MZIKI HUU BADO MANCHESTER UNITED ITASHINDWA KUINUKA KWELI?


KINAVYOTARAJIWA KUPANGWA KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED BAADA YA DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA NA YENYEWE IKIWA NA WACHEZAJI WAPYA KIBAO. KWA KIKOSI UNACHOKIONA, KWELI ITASHINDWA KURUDISHA ILE HESHIMA YAKE? ITAKUWA KASHESHE.

DIRISHA LA USAJILI LAFUNGWA; WALIOTOKA NA KUINGIA KLABU ZOTE ENGLAND HADI SEKUNDE YA MWISHO WAKO HAPA

Mtu wa kazi; Radamel Falcao amehamia Manchester United kwa mkopo kutoka Monaco ya Ufaransa
DIRISHA la usajili limefungwa usiku wa kuamkia leo na klabu mbalimbali zilikuwa kwenye pilika za kukamilisha uhamisho wa nyota mbalimbali waliokuwa wakiwahitaji.
  KITOMIXNEWS inakuletea orodha ya wachezaji wote wapya waliosajiliwa pamoja na wale ambao wameondoka kwenye klabu zao baada ya kufungwa kwa usajili mkubwa wa majira haya.

VAN GAAL AHAMIA KWENYE UKUTA, AMNASA BEKI BORA WA UHOLANZI KUTOKA AJAX



 Unaweza kudhani Louis van Gaal amelala na anasajili washambuliaji tu, la! Wakati dirisha la usajili linakwenda ukingoni kufungwa, Manchester United imemnasa beki kisiki wa Ajax, Daley Blind.