Kwa tumbo kukatika katika na kutoa mistari wanawake wanayoiona ni ya kimahaba, waulizewanaume wamekukusanyia mazoezi ambayo yatakuletea maajabu na kulibadilisha tumbo lako kuwa tofauti na kukufanya utembee kifua wazi...
RATIBA YA MAZOEZI>>
- Fanya mazoezi haya mara mbili kwa wiki.
- Chukua mapumziko ya dakika 15 mpaka 30 kwa kila seti ya mzunguko wa mazoezi.
- Chukua pumziko la dakika 60 kwa kila zoezi.
Kwa hili zoezi, funga kamba mwisho mwa miguu yako yote miwili, huku ukiwa kwenye mkao wa pushapu, kunja miguu na rudisha kwa urefu kama picha inavyoonesha.
>Fanya seti tano.
>Seti ya kwanza mara 15,
>Seti ya pili mara 12,
>Seti ya tatu mara 10,
>Seti ya nne mara 10,
>Seti ya tano mara 10.
2; Decline Russian Twist
Kaa wima kwenye kiti kilicho binuka kwenye engo ya nyuzi 45, jizungushe upande wa kuria na wa kushoto huku umebeba chuma chenye uzito mdogo kama picha inavyoonyesha.
>Fanya seti 5.
>Rudia mara 12 kwa kila seti.
3; Hanging Leg Raises
Bembea kwenye chuma na nyanyua miguu kufikia urefu sambamba na wa kiuno chako, huku mwili wote ukibaki wima kama picha inavyoonyesha.
>Fanya seti 5,
>Rudia mara 12 kwa seti zote.
Hakikisha unazingatia ratiba ya mazoezi.
- Fanya mazoezi haya mara mbili kwa wiki.
- Chukua mapumziko ya dakika 15 mpaka 30 kwa kila seti ya mzunguko wa mazoezi.
- Chukua pumziko la dakika 60 kwa kila zoezi.
MAPUMZIKO DK60?MBANA MDA MREFU SANA MKUU
ReplyDeletemuda wa mapumzko mbna mkubw xan?
ReplyDelete