Thursday, 8 May 2014

KOCHA WA YANGA ASITISHA MKATABA WAKE NA YANGA

kocha 

Taarifa ambayo inatolewa muda huu na Uongozi wa Yanga ni juu ya kuacha kazi kocha wa timu hiyo Hans Van Der Plujim ambaye aliungana na timu hiyo January 2014,sababu za kocha huyo kuacha kazi ni kile kilichoelezwa kuwa amepata dili nchi nyingine na mkataba wake na Yanga ulikua unamalizika July mwaka huu.

No comments:

Post a Comment