WACHEZAJI
watatu wa Arsenal, Lukas Podolski, Mesut Ozil na Per Mertesacker wote
wamejumuishwa katika kikosi cha Ujerumani kitakachoingia kambini
kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia.
Mshambuliaji wa Chelsea, Andre Schurrle pia atakwenda Brazil mwezi ujao baada ya kujumishwa kwenye kikosi cha Joachim Low.
Kiungo wa Real Madrid, Sami Khedira pia ameitwa, licha ya kwamba hajacheza tang Novemba mwaka jana sababu ya majeruhi.
Amepata
kiatu, lakini si Ujerumani: Mesut Ozil, pichani akiwa ameshika kiatu
wakati wa promosheni ya hisani, naye pia atakwenda Kombe la Dunia
Kikosi kamili cha Ujerumani ni makipa: Manuel Neuer (Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund) na and Ron-Robert Zieler (Hannover), mabeki; Erik
Durm (Borussia Dortmund), Jerome Boateng (Bayern Munich), Kevin
Grosskreutz (Borussia Dortmund), Benedikt Howedes (Schalke), Mats
Hummels (Borussia Dortmund), Marcell Jansen (Hamburag), Philipp Lahm
(Bayern Munich), Per Mertesacker (Arsenal), Shkodran Mustafi (Sampdoria)
na Marcel Schmelzer (Borussia Dortmund).
No comments:
Post a Comment