NYOTA
wa Manchester City, Stevan Jovetic amehakikisha wadhamini wake
wanaonekana vizuri baada ya kuvua nguo zone na kubaki na chupi,
timu take ikishinda 4-0 dhidi ya Aston Villa jana.
Mwanasoka
huyo wa kimataifa wa Montenegro aliifungia timu take boa la tatu jana
Uwanja wa Etihad na katika kushangilia akasaala na kubaki na chupi
akikimbia kuelekea walipo mashabiki.
Hilo
lilikuwa boa la saba la mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 msimu huu
- na la kwanza kwa zaidi ya mwezi, ingawa refa Michael Oliver alimlima
kadi ya njano.

No comments:
Post a Comment