Victoria kimani anaewakilisha 254, anatarajia kudondosha single yake mpya siku ya juma tano wiki ijayo.
Single hiyo aliyomshirikisha Diamond na Ommy Dimpoz Prokoto
itakuwa ndio single yake inayofata huku uongozi wake ukisema kuwa wimbo
huo unaonekana utakuja kufanya vizuri sana Africa na ndio maana wameamua
kuuachia sasa hivi.


No comments:
Post a Comment