Saturday, 2 August 2014

SAMATTA NA ULIMWENGU WATUA MAPUTO TAYARI KUUA MAMBA KESHO

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau kushoto akimlaki mshambuliaji Mbwana Samatta kulia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo, baada ya kuwasili asubuhi ya leo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya wenyeji Msumbiji. 

Hii ni picha maarufu hivi sasa ya Kim Kardashian na Kanye West…ina likes zaidi ya laki 8.


1Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashian ame-post picha aliyopiga kwa camera ya mbele (selfie) wakiwa chumbani na Kanye West.

Friday, 1 August 2014

SANCHEZ AANZA MAZOEZI ARSENAL, HUENDA AKACHEZA KESHO DHIDI YA BENFICA KOMBE LA EMIRATES

\
MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez leo ameanza mazoezi Arsenal kujiandaa na michuano ya Kombe la Emirates.
Mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 30 The Gunners kutoka Barcelona alijifua na timu yake mpya kwa mara ya kwanza.

Dole tupu: Alexis Sanchez ameanza mazoezi Arsenal leo

Hii ni kuhusu Mrisho Mpoto chupuchupu kuvamiwa na Majambazi.


Mrisho Mpoto 
Jeshi la Polisi limekwisha toa taarifa mara kadhaa juu ya usafirishwaji wa pesa kutoka eneo moja kwenda eneo jingine hasa kutumia njia sahihi ya kusafirisha hizo pesa bila kubeba kwenye gari.

STARS WAPATA MSUKOSUKO ANGANI, NDEGE YA AFRIKA KUSINI YAKORIFISHA IKIELEKEA MAPUTO, YAGEUZA NA KUREJEA JOHANNESBURG


KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilipata msukosuko angani kwenye ndege kikitokea Afrika Kusini baada ya ndege ya shirika la nchi hiyo kugeuza kurudi Johannersburg baada ya rubani kubaini hitilafu. Stars iliarajiwa kufika Maputo, Msumbiji Saa 8:40 mchana kwa saa za hapa, lakini wakiwa nusu ya safari walitangaziwa kutokea matatizo ambayo yaliifanya irejee Uwanja wa Ndege wa O R Tambo kwa matengenezo. Baada ya matengenezo ya takriban saa moja, ndege hiyo ilipaa tena na kufika Maputo Saa 11:30 za huku, tayari kwa mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Morocco. 
Kocha wa Stars, Mart Nooij kushoto akizungumza na Waandishi wa Habari
Beki wa Stars, Aggrey Morris akiwasili Maputo

Wasanii wa Afrika watakaokutana na Rais Obama akiwemo Mtanzania mmoja

Screen Shot 2014-08-02 at 7.58.48 AMA.Y akiwa na wasanii wengi wakubwa kutoka Africa wamesafiri pamoja na mchezaji wa Manchester city “Yaya Toure” kwenda Washington D.C Marekani kwa ajili ya mkutano utakaofanyika kati ya tarehe 4 hadi 7 August 2014.

TETESI ZA SOKA ULAYA...ARTURO VIDAL AMEPITA KATIKA VIPIMO VYA AFYANA ANASUBIRI KUSAINI MKATABA..


Arsenal wameambiwa Juan Quintero, 21,
ataruhusiwa tu kuondoka Porto iwapo kifungu
cha pauni milioni 32 cha uhamisho
kitatenguliwa (Daily Express) Manchester United
wanakaribia kufanikisha uhamisho wa pauni
milioni 20 wa Mats Hummels, 25, huku Borussia
Dortmund wakiwa na matumaini ya kuziba
pengo hilo kwa kumchukua Tiago IIori, 21,
kutoka Liverpool kwa mkopo (Daily Mirror), rais
wa Napoli Aurelio De Laurentiis amethibitisha
kuwa klabu yake inamtaka kiungo wa
Manchester United Marouanne Fellaini, 26,
ingawa kuna wachezaji wengine pia
inawafuatilia (Daily Telegraph), Liverpool
inatazama kuwachukua mabeki kutoka Spain
Alberto Moreno, 22, wa Sevilla na Javier
Manquillo, 20 kutoka Atletico Madrid (Daily
Star), West Ham wamekuwa na mazungumzo
na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Samuel
Eto'o, 33, na pia Hugo Almeida, 30 kutoka
Besitkas (Times), kocha wa Atletico Madrid
Diego Simione yuko tayari kupanda dau
kumchukua kiungo wa Manchester United Shinji
Kagawa, 25 (Daily Express), QPR wameelekeza
macho yao kumfuatilia kiungo Morgan
Amalfitano, 29 kutoka Marseille, aliyeichezea
West Brom kwa mkopo msimu uliopita (Daily
Mail), Arsenal wanamfuatilia beki wa Real
Madrid Alvaro Arbeloa iwapo Thomas Vermaelen
ataondoka Emirates (AS), Arturo Vidal wa
Juventus amepita katika vipimo vya afya na
anasubiri makubaliano ya mwisho kusaini
mkataba na Manchester United (Metro), kiungo
wa Porto Juan Quintero amesafiri kwenda
London kukamilisha uhamisho wake wa kwenda
Arsenal (Marca). Share tetesi hizi na wapenda
soka wote. Tetesi nyingine kesho tukij