Nafasi ya kwanza imeshikwa na klabu ya Real Madrid yenye thamani ya £2billion, nafasi ya pili FC Barcelona ambayo imetajwa kuwa na thamani ya £1.9billion.
United baada ya kuwa msimu mbaya kabisa kwenye historia yao, wameshuka kutoka nafasi ya 2 mwaka jana mpaka nafasi ya 3 wakiwa na thamani ya £1.65billion.
Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wameshika nafasi ya nne kwa kuwa na thamani ya £1.1billion, wakati huo huo klabu ya Manchester City imeweza kupanda thamani kwa asilimia 25 wakiwa na thamani ya £508m.
LISTI KAMILI ILIVYO
No comments:
Post a Comment