Maisha popote… inavutia kuona ubunifu na
Teknolojia vinatuletea vitu vipyavipya Duniani… Pesa yako ndio inaamua
wapi uishi, wapo wenye nazo ambao watavutiwa kuwa na maisha yao ndani ya
hii gari ya kifahari !!
Monday, 5 October 2015
Sunday, 4 October 2015
Ujumbe wa Rais wa Marekani Barack Obama baada ya miaka 23 ya ndoa yao
October 3, 1992 Rais wa Marekani Barack Obama na mke wake Michelle walifunga ndoa katika kanisa la Trinity United Church huko Chicago. Marekani.
Wednesday, 3 June 2015
MSICHANA ALIYETOKWA NA MACHOZI BAADA YA KUMWONA RAIS KENYATTA LEO KAKARIBISHWA KABISA IKULU.
Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi.. Kumbe ni RaisKenyatta aliyemwona msichana huyo akitokwa machozi huku akimpungia mkono.. akasimamisha msafara wake na kumsalimia msichana huyo.
Wednesday, 18 March 2015
MAAJABU..MBUZI AZALIWA NA VICHWA VIWILI..JIONEE
Tuesday, 17 March 2015
YULE MSIEMPENDA KAACHIWA HURU..SASA NGUMI ZOTE ULINGONI..
Thursday, 5 March 2015
MVUA YA MASAA MAWILI YALETA MAJANGA MKOANI SHINYANGA,,ZAIDI YA WATU 30 WAPOTEZA MAISHA
Vua
kubwa iliyonyesha usiku wa kiamkia leo imeuwa watu zaidi ya 50 na
wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa katika kijiji cha Mwakata kata ya Isaka
wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Tuesday, 3 March 2015
Wimbo wa Marehemu Kapteni Komba Wamliza Rais Kikwete,Ally hassan mwinyi.
Sehemu ya mashairi ya wimbo huo uliokwenda kwa jina la “Nani Yule” ulioimbwa na wanamuziki mbalimbali wa bendi nchini, na kuwatoa watu machozi iliimbwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
“Kapteni Komba familia yako umeiacha na nani, chama chako umekiacha na nani, nenda baba msalimie Mwalimu, mweleze hali ya Watanzania ilivyo hivi sasa, mweleze hali ya nchi yetu ilivyo hivi sasa hasa wakati huu, msalimie Mzee Kawawa Simba wa Vita”
Baadhi ya wanamuziki walioshiriki kuimba wimbo huo ni King Kiki, Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Mlata, Jose Mara ambaye ni mwanamuziki wa bendi ya Mapacha Watatu na Luiza Mbutu wa African Stars.
Monday, 2 March 2015
AKICHOKISEMA MPOKI KUHUSU MSIBA WA KAPTAIN KOMBA..NA KUHUSU KUIGA SAUTI YAKE.. #RIP John Komba
Thursday, 26 February 2015
Msanii Temba Kutoka TMK Wanaume Apandishwa Mahakamani kwa Kutishia Kuua
Breaking News: Chid Benzi Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Miwili Jela au Kulipa Faini ya sh. 900,000
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro Maarufu kama (Chid Benzi) amehukumiwa kifungo cha miaka mwili jela au kulipa faini ya shingili laki tisa bada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ikiwemo kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin yenye thamani ya sh. 38,638, bangi ya sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Haya matano ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Sauti yake kutoka @PB CloudsFM
DC wa Kinondoni, Paul Makonda
Power Breakfast ilikuwa hewani asubuhi
ya leo February 26, mgeni rasmi ambaye alipata nafasi ya kufanya
mahojiano ni Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Paul Makonda ambaye vyombo vya habari vilikuwa na headlines nyingi kuhusu yeye tangu siku ambayo alitangazwa kuwa DC mpya wa Wilaya hiyo.
Hatimaye Kinyesi cha Mwalimu Kilichokuwa Kwenye Chumba Chake Kwa Miezi Kadhaa Chateketezwa
Manispaa ya Temeke leo imeteketeza kinyesi kilichokutwa katika chumba cha mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila Gaudensia Albert baada ya maofisa wa afya wa manispaa hiyo kuchukua hatua hiyo ili kunusuru afya za wakazi wa eneo hilo.
Waliomuiba Albino Pendo Wakamatwa Mwanza
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo. |
Mzee Malecela amekitaka Chama cha Mapinduzi Kumchukulia hatua kali za kinidhamu Lowassa
Maneno aliyosema mwl. Nyerere kuwa IKULU sio pango la walanguzi usikimbilie kwenda IKULU ni mahali patakatifu mtu yeyote anayekimbilia IKULU bila kujiuliza mwogopeni hafai kuwa Rais. Maneno hayo ya mtu kukimbilia IKULU aliyarudia kuyasema Waziri mkuu mstafu mzee John Malecela.
Wednesday, 25 February 2015
WAZALIWA NA MAMA MMOJA ,WAUAWA NA KUTOLEWA MIOYO YA NA MAMA YAO.NA HII NDIO SAFARI YAO YA MWISHO..
Moja ya taarifa kutoka Nairobi Kenya
ambayo ilisikitisha sana ni tukio la watoto watatu kuuawa na mwanamke
mmoja ambaye baada ya kuwaua halafu akawapasua na kula mioyo ya watoto
hao.
Mwanamke huyo Catherine Muthoni alimuua mtoto wake mmoja mwenye umri wa miaka kumi na baadaye kuua watoto hao wawili wa jirani.
Tukio la leo katika eneo la makaburi ya
Lang’ata limewatoa wengi machozi wakikumbuka jinsi watoto hao
walivyofariki kwa mateso ambapo familia ya watoto hao wameamua kufanya
mazishi ya watoto wote wawili kwenye kaburi moja.
Mwanamke huyo anashikiliwa na Polisi
kesi yake ikiendelea ambapo Mahakama iliagiza afanyiwe uchunguzi kama
ana matatizo ya akili huku upelelezi wa kesi yake ukiendelea.
Monday, 16 February 2015
JIONEE HAPA PICHA ZA MWISHO ZA SAFARI YA BABA AKE DULLY SYKES..MZEE EBBY SYKES...VIONGOZI WA SERIKALI NA WASANII WAONYESHA USHIRIKIANO WA KUTOSHA...
.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck
Sadiki na Jaji mstaafu Joseph Warioba leo Feb 16 wameungana na
wananchi mbalimbali kwenye mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki
nchini, Ebby Sykes ambaye ni baba mzazi wa msanii Dully Sykes.
Italia yawaokoa maelfu ya wahamiaji
Kikosi
cha ulinzi wa pwani ya Italia kimesema kimewaokoa zaidi ya wahamiaji
elfu mbili wakisafiri katika maboti katika bahari ya Mediterani-- katika
operesheni kubwa kuliko zote kufanywa kwa wakati mmoja mpaka sasa.
Sunday, 15 February 2015
Alikua na ndoto za kumiliki gari la kifahari aina ya Lamborghini…akaamua kutengeneza hivi!
Baada ya kuwa na ndoto za kuendesha gari ya kifahari aina ya Lamborghin huku akiwa hana uwezo wa kununua gari hiyo Yu Jietao
raia wa Jiangx,
Friday, 13 February 2015
Mtoto wa miaka sita atoa mpyal, amuomba Mourinho na Diego costs Waiokoe timu yake ya Aston Villa…
Saa 24 zilizopita zimekuwa ngumu sana kwa mashabiki wa klabu ya Aston Villa ambao wameishuhudia timu yao ikianguka kwenye janga la kushuka daraja baada ya mfululizo wa matokeo mabaya.
Hii namuhusu mtoto wa mwigizaji maarufu duniani Jackie Chan..
Kitendo cha mtoto wa mwigizaji maarufu China Jackie Chan aitwaye Jaycee Chan
kukamatwa na dawa za kulevya nyumbani kwake kilimfedhehesha sana baba
yake kutokana na kuwa mtu maarufu ndani ya nchi hiyo na duniani kote.
Thursday, 12 February 2015
JIONEE HAPA KICHAPO KILIVYOTEMBEA KATIKA BUNGE LA AFRICA KUSINI...
Wabunge wenzake na Julius Malema wenye nguo nyekundu wakitolewa nje ya Bunge Afrika Kusini jana jioni February 12
Baada ya Waziri Wasira Kupata Aibu ya Suti, Sasa Asalimu Amri Amkimbilia Sheria Ngowi Kuokoa Jahazi, Sasa Mwendo wa Single Button
Baada ya Babu yetu Mh Wasira kuaziriwa na suti mbele ya watu kwa kufunga vifungu vibaya na kuwa gumzo kubwa mtandaoni na watu kumkejeli sana , unaambiwa sasa kaamua kuwakata watu vidomo kuanzia sasa
LULU ATAMBA KUWA BABA AKE NI HANDSOME...
Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha
zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na
mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa
Huyu ndo Kiongozi wa Kikundi cha Kigaidi Kinachoua Polisi na Kuiba Silaha Kwenye Vituo Nchini.....Anaitwa Kaisi Bin Abdullah
HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!
Monday, 9 February 2015
Utafiti kuhusu watu ambao hufanya zaidi tendo la ndoa
Katika hali ya kawaida imezoeleka kuwa
tendo la ndoa au mapenzi hufanywa zaidi na vijana kwa sababu miili yao
imechangamka na pia ina nguvu kuliko ya watu wazima na afya ya kuhimili
tendo hili lakini pia ule mvuto wa mapenzi nao huwa mkubwa miongoni mwa
vijana.
Thursday, 5 February 2015
Wednesday, 4 February 2015
Tuesday, 3 February 2015
Cristiano Ronaldo kuuzwa kwa dau hili hapa......
Katika yale yaliyosikika mfululizo kuhusu staa wa soka DUNIANI, Cristiano Ronaldo kuna
ishu ya kuachana na mpenzi wake, ipo ya sanamu kubwa kujengwa nyumbani
kwao Ureno kama ishara ya kuheshimu anavyoipa sifa nzuri nchi hiyo
duniani, lakini pia ana tuzo yake ya Ballon d’Or, mwanasoka bora wa
kiume duniani.
Ubora
wake unampa thamani kubwa, wakala wake ametangaza dau kubwa kwa klabu
yoyote ambayo itakuwa tayari kumnunua staa huyo muda wowote kuanzia
sasa.
Huyu ndiye aliewekewa mikono ya mtu mwingine..jionee hapa
RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AITEMBELEA TANZANIA TAZAMA MAPOKEZI YAKE YALIVYOKUA..
Rais
wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt
akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Tuesday, 27 January 2015
Thursday, 22 January 2015
HICHI NDICHO ALICHOKISEMA MAKAMBA JUU YA CHAMA CHAKE..
Shindano la Nani Mkali: Jokate na Lulu Michael ...Aya ndio matokeo..
HII NDIYO NDEGE INAYOPAA KUTUMIA NISHATI YA JUA..JIONEE HAPA VIDEO YAKE IKIWA ANGANI,,
Dunia na teknolojia yake, kila siku kuna mapya kwa hiyo hatutoacha kushangazwa nayo kila yanapojitokeza.
Nikufahamishe kwamba hii ndege inaitwa ‘Solar Impulse 2′, inatumia mwanga wa jua tu kuzalisha nguvu ya umeme ambayo inaifanya iruke.
Wednesday, 21 January 2015
JE WANAWAKE WA MJINI KUJIFUNGUA KWA NJIA HII NI BIASHARA AU NI UOGA..SOMA HAPA...
CHEKI HAPA CHANNEL MPYA YA TV AMBAYO ITAKUWA GUMZO AFRIKA .....
Habari njema kwa wasanii na waandaaji wa vipindi vya utamaduni pamoja na
ngoma za asili....Chanel mpya inayopatikana startv ndan ya king'amuz cha
continental Chanel namba 109 Star Afroculture inapokea kazi hizo pamoja na
mahojiano na wasanii mbali mbali....wasilisha kupitia email yetu. wasiliana
ZITO KABWE ATOA YA MOYONI KUHUSU CHADEMA…SOMA HAPA......
Magazeti yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge Zitto Kabwe kurudi tena CHADEMA, millardayo.com imepata exclusive interview na Zitto Kabwe, kazungumzia shu hiyo.
Jina la Ikulu ya Tanzania Latumika Katika Utapeli wa Ajira, Ikulu yatahadharisha Juu ya Utapeli Huo
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam nchini Tanzania
imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuwepo kwa baadhi ya watu ambao ni
matapeli na wanatumia vibaya jina la ikulu kwa kusema kwamba kuna nafasi
za ajira na wana uwezo wa kuwapatia ajira kwa kutoa fedha.
Tuesday, 20 January 2015
HAYA NDIO MAAJABUNdugu wa marehemu wameukosa mwili wa mtu wao, kaburi halikuachwa wazi!tazama hii video Video
“Inatolewa
inapelekwa mahali pengine ambayo hata hatujui ni ajabu sana… Sisi
tumesema tunataka mwili wa mtoto wetu, tunataka mwili wa mtoto wetu mara
moja” alisema ndugu wa marehemu.
Mwigulu Nchemba kuhusu Urais, Escrow, kiongozi wa Upinzani anayemvutia huyu hapa,,
Kama umepitwa na show ya Mkasi,
hii ilikuwa ya Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, mengi
kayazungumza humu ikiwemo ishu ya kutangaza kugombea Urais, Escrow,
skafu yake na pia kamtaja kingozi wa upinzani anayemvutia.
Ishu ya kutamani kugombea Urais; “Hata kama ningetamani kwa kiwango gani, kama sitatimiza majukumu haya niliyopewa hakuna mtu atakayeniamini…”
Rais
wa awamu ya nne ameweka rekodi yake ya kutokulinda wahalifu… Ni Rais
huyu huyu aliruhusu Waziri wake Mkuu ajiuzulu, ukiangalia kwenye rekodi
ni Mawaziri wengi sana wameondoka. Mimi naamini anachotafuta ni hicho tu
kutenda haki…” hapa alikuwa akizungumzia ishu ya maamuzi ya Rais kuhusu Escrow.
Kuhusiana na ishu ya Wafanyakazi wa TRA waliosababisha hasara ya Kodi, Nchemba alisema;
Subscribe to:
Posts (Atom)