Saturday, 2 August 2014

Mtoto wa Beckham amekua, mcheki hapa na girlfriend wake wa kwanza

1
Brooklyn Beckham mtoto wa kwanza wa David Beckham ana miaka 15 na hivi sasa ameanza ku-date na msichana mwenye umri wa miaka 17. Hii ni mara ya kwanza kwa mtoto huyu wa kwanza wa Beckham na camera nyingi zimeanza kumfatilia kwenye kila mtoko atakao kuwa na actress/model Chloe Moretz.

YAYA 'SUPER' SANOGO AWAPIGA NNE PEKE YAKE BENFICA ARSENAL IKIUA 5-1 KOMBE LA EMIRATES

MSHAMBULIAJI kinda wa Arsenal, Yaya Sanogo au Yaya Sanogoal amwfunga mabao manne katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Benfica jioni hii mchezo wa ufunguzi Kombe la Emirates.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 ambaye alianza kucheza England msimu uliopita akipewa mechi 14 mashindano tote  alifunga mabao hayo katika dakika za 
26, 44, 45 na ushei na 49, wakati bao lingine la Gunners lilifungwa na Joel Campobell. 
Bao pekee la kufutia machozi la timu a Ureno lilifungwa na Gaitan dakika ya 62.

Shoo la mtu mmoja: Yaya Sanogo ameifungia mabao manne Arsenal katika ushindi wa 5-1 Kombe la Emirates dhidi ya Benfica

Zijue habari tatu mpya za Chris Brown kuhusu muziki,mapenzi na maisha

ddddddddddddd
Habari ya kwanza ni kuhusu hali ya uhusiano wake na Karrueche. Taarifa mpya ni kwamba binti huyo ameamua kuchukua njia yake baada ya kuona kwamba hana future na Chris Brown. Sources zinasema kwamba hadi sasa Karrueche amebadirisha namba yake ya simu ili Chris Brown asieweze kumpata.

AMAZING ! HUYU NDIE MUHUBIRI MWANAMKE ALIYECHORA TATOO KWENYE MATITI YAKE, IT'S CRAZY..CHECK OUT


Preacher With Tatoo

Anaitwa muhubiri Latascha Emanuel kutoka marekani ni muhubiri wa kike ambae anakuwa mfano wa kuigwa kwa jambo 1 tu la ujasiri wa kusimama na kuhubiri lakin matendo na muoekano wa mwili wake tuuache kama ulivyo..

SAMATTA NA ULIMWENGU WATUA MAPUTO TAYARI KUUA MAMBA KESHO

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau kushoto akimlaki mshambuliaji Mbwana Samatta kulia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo, baada ya kuwasili asubuhi ya leo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya wenyeji Msumbiji. 

Hii ni picha maarufu hivi sasa ya Kim Kardashian na Kanye West…ina likes zaidi ya laki 8.


1Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashian ame-post picha aliyopiga kwa camera ya mbele (selfie) wakiwa chumbani na Kanye West.

Friday, 1 August 2014

SANCHEZ AANZA MAZOEZI ARSENAL, HUENDA AKACHEZA KESHO DHIDI YA BENFICA KOMBE LA EMIRATES

\
MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez leo ameanza mazoezi Arsenal kujiandaa na michuano ya Kombe la Emirates.
Mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 30 The Gunners kutoka Barcelona alijifua na timu yake mpya kwa mara ya kwanza.

Dole tupu: Alexis Sanchez ameanza mazoezi Arsenal leo