Friday, 11 April 2014

SIRI NZITO ZA ALIKIBA ZAFICHUKA!!! SOMA HAPA

Wasanii wengi wa fani mbali mbali kuanzia
filamu hadi bongo fleva, wamekuwa wakipoteza
mashabiki wao wengi kutokana na ile hali tu ya
jinsi anavyochukulia umaarufu wake, kama
anatumia umaarufu wake vizuri basi hutokea
kupendwa sana na watu hata wale ambao siyo
mashabiki wake, watampenda tu kama mtu
wakawaida.Kismati hiki cha kupendwa sana na
watu wa rika mbalimbali anacho naye msanii
mkongwe sana Ali Kiba.
Ukimuongelea Msanii kama Ali Kiba, watu wengi
wanatamani wasanii wote wawe kama yeye,ni
mmoja kati ya wasanii wachache sana maarufu
ambao hawana ulimbukeni wa mali au umaarufu
wao, cause wengi wao pale wapatapo umaarufu
kidogo tu, huanza kudharau watu wake wa
karibu, haswa wakipata mali kidogo basi huishia
kuonyesha watu magari na
nyumba,hata kama haiwahusu, ilimradi tu basi
nao waonekane kama wasanii wa nje wenye mali
zao, ila kwa Ali kiba imekuwa ni tofauti sana,na
hiki ndicho kinachofanya AliKiba aweze
kupendwa zaidi na kila mtu.
Kupitia mtandao wa instagram Ali kiba aliweza
kuweka wazi mtazamo wake wa mafanikio:
“Kuishi maisha halisi yenye furaha na maana
kwako ni kitu cha thamani sana. Unayo kila
sababu ya kufuata njia yako ya maisha yenye
misingi mizuri ya kukujenga katika kila nyanja ya
maisha yako. Kwa kuwa kila mtu ana maono
yake binafsi kuhusu maisha ni vigumu kufafanua
maana halisi ya maisha. Naamini nawe pia una
falsafa yako ya kutafsiri nini maana ya maisha
mazuri kwako,

AUNT EZEKIEL AFUKUZWA NYUMBANI KWA WEMA...KISA KIZIMA NA PICHA HIZI HAPA

TIMBWILI la aina yake limetokea nyumbani kwa ‘Beautiful Onyinye’ wa Bongo, Wema Sepetu, kati ya Martin Kadinda na nyota wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, ‘Kubwa’ lina kisa klizima.
 

BREAKING NEWZZZZ!: NUSU FAINALI UEFA: CHELSEA MDOMONI MWA ATLETICO MADRID, BAYERN VS REAL MADRID!!


Euro march: Chelsea recovered from a first-leg deficit to beat Paris Saint-Germain in the quarter-finals

Chelsea imepangwa na Atletico Madrid katika hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.

MAPACHA WALIOUNGANA WAABUDIWA KAMA MIUNGU HUKO INDIA...CHEKI PICHA HAPA



Conjoined twins Shivanath and Shivram Sahu caused quite a stir when they were born in India, with some people in their village worshipping them as divine incarnations. And while one doctor has said that it would be possible to separate them, the 12-year-old boys, who were born joined at the waist, are determined to remain together.

HIZI NDIZO PICHA ZA UTUPU ZA DEMU WAKE NEY WA MITEGO.CHEKI HAPA

                                                                                     kutoka instagram...Leo wameibuka na Demu wa Ney wa mitego....
Nanukuu.....

MWANAMKE KAMA UNAPATA MAUMIVU WAKATI WA SEX NA MUMEO BAADA YA ROUND YA KWANZA AMA YA PILI FANYA HIVI.

1]-Kama hustahimili mzunguuko wa
tatu ambao labda nimrefu lakini
yeye haridhiki mpaka apige bao la
tatu basi msaidie kwa kumpa mikono
au mdomo na utakapohisi kuwa
anakaribia jirushe au jigeuze ili
akuingilie ukeni wakati bado uko
"tayari" hali itakayokufanya uepuke
maumivu kwani hatokupeleka
mwendo mreeeefu nakusababisha
maumivu
2] mkao/mtindo mnaotumia kufanya
mapenzi, kumbuka kuna mikao/
mitindo mingine husababisha
maumivu kwa mwanamke lakini
utamu kwa mwanaume, hivyo
unapaswa kutambua mikao gani
inawafaa wote wawili au kubadili
kila baada ya muda fulani kuliko
kushupalia mkao.mtindo mmoja
mwanzo mpaka mwisho.....hasa
kama mkao huo ndio
unakusababishia Discomfort.
3] mpenzi wako anakwenda mwendo
mrefu zaidi hali inayoweza
kusababisha mafuta ya Condom
kukauka, ute wako kidogo kukauka
na uke kuwa mkavu bila yeye
kujua....kwa kawaida ukitumia
Condom kwa zaidi ya dakika 15 au
pale unapohisi ukavu unapaswa
kubadilisha na kuvaa mpya.Unajua
baadhi ya wanaume wanaongeza
"mwendo" kutokana na mzunguuko,
mfano ikiwa mzunguuko wa kwanza
ulimalizika haraka labda ndani ya
Dk 10, mzunguuko wa pili unaweza
kumchukua Dk30, Mzunguuko wa
tatu ukaenda Dk45 mpaka saa na
kuendelea.
4] mnapofikia mzunguko wa tatu,
vilevile inawezekana huwa hauna
ute wa kutosha (kwa baadhi ya
wanawake mzunguuko wa 3 huitaji
kilainisho cha ziada kama mate au
Kay Jel) hali inayoweza
kukusababishia "sore" ukeni na hivyo
kuhisi maumivu pale unapoingiliwa.

BIASHARA ZA FIGO YASHAMIRI NCHINI..ZAUZWA KAMA

Katika kile kinachoonekana kukithiri kwa hali
ngumu ya maisha, baadhi ya Watanzania
wameanza biashara ya kuuza figo zao kwa
gharama kubwa kwa watu wenye mahitaji ya
kiungo hicho muhimu mwilini.
Uuzaji huo umetokana na ongezeko la maradhi
ya figo miongoni mwa Watanzania kwani
takwimu za Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
zinaeleza kuwa kuna wagonjwa 470,000 nchini
ambao figo zao zimeshindwa kufanya kazi
kabisa na wanahitaji upandikizaji. Katika
uchunguzi wake, mwandishi wa gazeti hili
alifanya kazi ya kutafuta kama wafanyavyo watu
wengine wenye mahitaji hayo na alifanikiwa
kukutana na watu kadhaa ambao walikuwa
tayari kumwuzia lakini kwa gharama kubwa.
Kijana mmoja alikuwa tayari kumwuzia figo
mwandishi wetu. Katika kufikia makubaliano
mazungumzo ya kijana huyo, Abiyudi Mtaki na
mwandishi wetu yalikuwa hivi:
Mwandishi: “Habari yako kaka, nimepata namba
yako kutoka kwa (jina linahifadhiwa) amesema
upo tayari kuuza figo yako, mimi nina shida kwa
sababu mama yangu anahitaji na hali yake si
nzuri.”
Muuzaji: “Nitumie meseji nipo kwenye gari.”
Alipotumiwa meseji alijibu hivi: “Dada yangu
mimi naelekea Uganda, kuna mtu kanitumia tiketi
jana, wakala nilimwambia kuwa nauza, ila yeye
hakuniambia iwapo kuna mtu wa Dar es Salaam
anayehitaji.”
Mwandishi: “Jamani kaka tusaidie kwa sababu
tuna shida, kwani huyo wa Uganda anakupa
shilingi ngapi?”
Muuzaji: “Napata milioni 80 aisee!”
Mwandishi: “Basi sitaweza kupata hizo fedha,
ngoja niangalie namna nyingine.”
Muuzaji: “Kwani we ulikuwa na ngapi?”
Mwandishi: “Tuna shilingi milioni 20 tu.”
Kiwango hicho hakikukubaliwa na muuzaji huyo.
Mei mwaka jana, Mwanahabari wa Gazeti la The
Telegraph la Uingereza alituma ujumbe kwenye
ukurasa wake wa facebook na kujifanya kuwa ni
kaka wa mwanamke anayehitaji kupandikizwa
figo hivyo anahitaji mtu anayeuza.
Ndani ya wiki moja alipata wateja zaidi ya 16
kutoka Uingereza, India na Tanzania waliojitolea
kuuza figo zao kwa gharama ya Euro 20,000
hadi 30,000, zaidi ya Sh68 milioni. Daktari
Bingwa wa figo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii, Dk Linda Ezekiel alisema uuzaji wa
figo ni kosa la jinai kwani kisheria ni makosa
kuuza kiungo cha binadamu kwa gharama
yoyote.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Figo Tanzania, Jaji
Frederick Werema alishangazwa na hatua za
baadhi ya watu kuchukua uamuzi wa kuuza figo
kwa ajili ya kujipatia fedha.
“Kutoa figo ni kosa la jinai, lakini si hivyo tu,
kutoa figo ni lazima ufuate taratibu za kisheria
na za kitabibu,” alisema Jaji Werema, ambaye
pia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Msemaji wa Wizara ya Afya, Nsachris Mwamaja
alisema miongozo na sera za Wizara ya Afya
hazikubaliani na biashara ya uuzaji wa figo
kama ilivyo kwa uuzaji wa damu.