Tuesday, 11 March 2014
HUYU HAPA STAA WA ULIMWENGU KUTOKA EAST AFRICA MDADA LUPITA NYONGO akiwa katika pozi Hataree
Lupita katika scene mojawapo ndani ya movie iliyompa tuzo hiyo iitwayo 12 years a slaveilimpasa acheze akiwa hajavaa kitu juu (matiti wazi) kma inavyoonekana pichani chini...Kwa waliongalia movie hiyo watakuwa wameliona hili...
Na wewe ambaye hujaangalia bado tafadhali kuwa makini kama waangalia na watoto wadogo....
PICHA HIYO HAPA CHINI..
You might also like:
BOFYA HAPA LUTAZAMA PICHA ZAIDI ZA DIAMONDI AKIKAGUA MJENGO WAKE UNAONDELEA KUJENGWA
Shilole, Madee, Profesa Jay, Young Dee, Afande Sele ni wasanii
waliojituma sana kwenye game la Bongo fleva ilikukamilisha nyumba zao na
kuhamia. Mpaka sasa Shilole anaendelea kujenga nyumba yake na picha ya
mwisho tulionya matengenezo yana karibia kuisha
Well its time na Diamond kumaliza nyumba yake, Hii Picha Nyingine kuhusu ujenzi unaoendelea wa nyumba yake.
Monday, 10 March 2014
HIKI NDICHO KILICHOSEMWA NA MAHAKAMA JUU YA KESI YA MSANII AT NA KUTO KUMLIPA MGANGA WAKE WA KIENYEJI
Asubuhi AT alifika mahakamani mapema na ilipofika zamu yake akaitwa na na kusomewa shitaka na AT alikanusha…
Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 04 April 2014, ambapo mdai ambaye ni mganga Dr sherif ametakiwa kwenda na vielelezo vyote kuthibitisha madai hayo,
Subscribe to:
Posts (Atom)


