Wednesday, 3 June 2015
MSICHANA ALIYETOKWA NA MACHOZI BAADA YA KUMWONA RAIS KENYATTA LEO KAKARIBISHWA KABISA IKULU.
![TZA MWANAFUNZI ALIYELIA KWA KUMUONA RAIS APATA FURSA KUKETI HIKULUNI 2](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/TZA-MWANAFUNZI-ALIYELIA-KWA-KUMUONA-RAIS-APATA-FURSA-KUKETI-HIKULUNI-2.jpg?resize=566%2C377)
Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi.. Kumbe ni RaisKenyatta aliyemwona msichana huyo akitokwa machozi huku akimpungia mkono.. akasimamisha msafara wake na kumsalimia msichana huyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)