BREAKING NEWS...TFF YAZINDUA JEZI MPYA YA TAIFA STARS..JIONEE HAPA
Vijana wa timu ya Magomeni Kombaini wakionyesha jezi mpya za timu za taifa za soka Tanzania, ikiwemo ya wakubwa, Taifa Stars wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika ukumbi wa JB Belmonte, katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Soud Jenga akionyesha jezi ya ugenini ya timu za taifa za Tanzania
Maonyesho Ally Saleh akionyesha jezi ya nyumbani ya timu za taifa za Tanzania
No comments:
Post a Comment