Bado majeruhi: Ronaldo akiondoka mazoezini akiwa amefungwa barafu leo Brazil
MSHAMBULIAJI
Cristiano Ronaldo ameba hofu upya ndani ya kikosi cha Ureno kuelekea
mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani baada ya leo
kutoka uwanjani mazoezini akiwa amefungwa barafu kwenye goti.
Nyota
huyo wa Real Madrid alipata ahueni wiki hii na kuanza mazoezi hivyo
kurejesha amani Ureno, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka
29 ameibua hofu upya juu ya hali yake.
Ronaldo alimudu kufanya mazoezi kwa dakika zisizozidi na wachezaji wenzake kabla ya kulazimika kutoka.
No comments:
Post a Comment