MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo
amesema kwamba yuko fiti kuwakabili Ujerumani
katika mchezo wa kwanza wa Kundi G Kombe la
Duani leo.
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid amekuwa
akisumbuliwa na matatizo ya goti lakini
amesema yupo tayari kwa mchezo wa leo mjini
Salvador.
"Wazi, ningeopenda kuwa fiti kwa asilimia 110-
nipo fiti kwa asilimia 100 na hiyo inatosha
kuisaidia timu ya taifa. Nimekuwa nikifanya
mazoezi kwa siku nyingi na ninajisikia vizuri.
Haujawahi kutokea wakati katika maisha yangu
ya soka nikacheza bila kuwa na maumivu, huo ni
mzigo,"’
Monday, 16 June 2014
HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA URENO..RONALDO YUKO FITI KUWAVAA UJERUMANI LEO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment