CHEKI HAPA GARI JIPYA LA PETER WA P SQUARE ALILONUNUA ZAIDI YA SH MILLION 300
Baada
ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado
hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao kwenye
muziki, Peter amewaonyesha fans wake gari lake jipya lilimtoa zaidi ya
milioni 300 kwenye pesa za kitanzania.
Peter na ndugu zake wawili ilisemakana kwamba hawakuwa kwenye
maelewano mazuri kwa kipindi kifupi na baadae wote watatu wali-tweet
maneno ambayo yaliashiria kwamba wamemaliza tofauti zao.
Cheki picha mbili za ndiga hiyo mpya ya pacha Peter Okoye.
No comments:
Post a Comment