HIVI NDIVYO MASHABIKI WA MAN U WALIVYOFURAHIA KUFUKUZWA KWA DAVID MOYES KWA KUCHORA TATUU MWILINI.CHEKI PICHA.
Mwezi
February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester
United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya “MoyesOut” kwamba
hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.
Sasa
baada ya David Moyes kufukuzwa shabiki huyu ameamua kuiongezea
maandishi tatoo hiyo kuonyesha alivyofurahishwa na kufukuzwa kwake
ambapo maneno hayo yanamaanisha ‘kazi imekamilika’
No comments:
Post a Comment