Monday, 21 April 2014

# BREAKINGNEWS:ZAIDI YA WATU 20 WAMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI..

Zaidi ya watu 20 wamefariki
dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa
baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiri
nalo kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha
njia,kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji
cha Itwimila wilaya ya Busega.Kwa habari zaidi endelea kutembelea Kitomixnews uweze kujua.

No comments:

Post a Comment