
Wengi
kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni
lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wameanza kucheza
michezo yao tangu wakiwa watoto.
Kwenye picha hizi kuna watu kama Cristiano Ronaldo,Lebron James,Lewis Hamilton,Tiger Woods,Michael Owen na wengine.

Neymar

David Beckham

Michael Owen

Lewis Hamilton

Diego Maradona

Messi

Lebron James

Tiger Woods

Serena na Venus Williams

Cristiano Ronaldo
No comments:
Post a Comment