Thursday, 17 April 2014

RONALDO NA REAL MADRID WALIVrOJIRUSHA NA NDOO YA MFALME JANA.


Ubingwa raha: Mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo akiwa ameshika Kombe la Mfalme usiku wa jana baada ya timu yake, Real Madrid kuifunga Barcelona Uwanja wa Mestalla mjini Valencia katika fainali. Ronaldo hakucheza sababu ya majeruhi.
Well done: Bale is congratulated by Real Madrid assistant manager Zinedine Zidane (left) and Cristiano Ronaldo
Kazi nzuri: Ronaldo akimpongeza mfungaji wa bao la ushindi la Real jana, Gareth Bale katikati pamoja na kocha Msaidizi, Zinedine Zidane (kushoto)
The boss: Real Madrid coach Carlo Ancelotti is thrown into the air by his players
Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti akiwa amebebwa juu na wachezaji wakeMagical: Bale jumps in the air as he celebrates his late winner at a packed Mestalla stadium in Valencia
Bale akiwa ameruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi jana MestallaPresentation: Real Madrid's Iker Casillas holds the trophy aloft after winning the Copa del Rey final
Kipa wa Real Madrid, Iker Casillas akiwa ameshika taji la Copa del Rey 
Group photo: Real Madrid players pose together after the final as the celebrations begin
Wafalme: Wachezaji wa Real Madrid wakiwa katika picha ya pamoja na taji la jana
Silverware: Bale (left) and Luka Modric celebrate with the Copa del Rey trophy
Gareth Bale (kushoto) na Luka Modric wakishangilia na taji la Copa del Rey

No comments:

Post a Comment