Real Madrid imeibuka kifua mbele katika mechi
ya kwanza ya nusu ya fainali Ligi ya Mabingwa
Ulaya kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bayern
Munich.
Mchezo huo umechezwa katika Uwanja wa
Santiago Bernabéu, Madrid huku bao hilo pekee
likiwekwa kimiani na mshambuliaji Karim
Benzema dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza!
No comments:
Post a Comment