Jarida la Forbes la marekani limeitaja klabu ya
Real Madrid kuwa na thamani ya €3.3 billion,
huku klabu ya Manchester United ikishika
nafasi ya pili ikiwa na thamani ya €3.16 billion.
Kumi 10 bora ya vilabu tajiri duniani
imetawaliwa na vilabu kutoka Premier League,
huku vilabu tajiri vya Ufaransa PSG
na AS Monaco vikiwa havitajwa kwenye listi
hiyo.
FORBES’ TOP 10 RICHEST CLUBS:
1) Real Madrid: €3.3 billion
2) Manchester United: €3.16 billion
3) FC Barcelona: €2.6 billion
4) Arsenal: €1.32 billion
5) FC Bayern Munich: €1.3 billion
6) AC Milan: €940 million
7) Chelsea FC: €900 million
8) Juventus: €690 million
9) Manchester City: €680 million
10) Liverpool FC: €650 million
Tuesday, 15 April 2014
Hii ndio listi ya vilabu tajiri duniani – Real, Barca, Man U nani katisha????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment