Unaambiwa club ya Villareal imemfungia
maisha yule shabiki ambae alionyesha kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia
ndizi Dani Alves, kitendo ambacho kilitafsiriwa kwa Alves kufananishwa
na nyani.
Wachezaji kadhaa wamemsupport kwa
ujasiri wake wa haraka na kula ndizi hiyo aliyotupiwa uwanjani alafu
akaendelea na game kama kawaida ambapo miongoni mwa waliomsupport ni
Neymar.
Mwingine alieonyesha support ni Samuel
Eto’o ambae baada ya kuweka picha zake mbili akiwa kwenye magari yake ya
kifahari na kuandika ‘samahani nilisahau kuuliza, kuna yeyote anataka
kuwa nyani kama mimi?’
No comments:
Post a Comment