Mechi ya kwanza itapigwa katika dimba la Vicente Calderon wiki itakayoanza aprili 21 na marudiano ni wiki moja baadaye.
Nusu fainali nyingine ni baina ya Real Madrid dhidi ya Bayern Munich.
Fainali ya UEFA itapigwa mjini Lisbon nchini Ureno mei 24 mwaka huu.
SEMI FINAL DRAW
REAL MADRID VS BAYERN MUNICH
ATLETICO MADRID VS CHELSEA
Mechi zitacheza aprili 22-23 na aprili 28-29
SEMI FINAL DRAW
REAL MADRID VS BAYERN MUNICH
ATLETICO MADRID VS CHELSEA
Mechi zitacheza aprili 22-23 na aprili 28-29
No comments:
Post a Comment