Tuesday, 15 April 2014

BREAKING NEWS:MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI

BREAKING NEWS: Watu wasiojulikana
wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia
benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora
kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake
haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea muda wa saa nne , katika
tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la
Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na
pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.

No comments:

Post a Comment