Sunday, 20 April 2014

HII NI KWAAJILI YAKO MWANAUME. Jinsi ya kujua kama umemfikisha kweli au anakuibia na kukushika masikio kwa kelele za kimahaba.

Mimi sio mwigizaji, zaidi ya hapo nilikuwa
mtu wa mwisho kwenye maigizo kipindi cha
shule ya msingi, ila nina uwezo mkubwa wa
kusema "Oooh, hapo hapo.. unanifikishaaa!",
mpaka mwanaume akahisi kweli
amenifikisha, hata hivyo siko peke yangu
wanawake wengi tu wanaigiza wakati wapo
wanafanya mapenzi.
Utafiti wa kitaifa wa ngono uliofanywa na
chuo cha indiana, ulionyesha asilimia 85% ya
wanaume wakisema mara ya mwisho
kufanya ngono waliwafikisha kileleni wenza
wao, hata hivyo asilimia 64% tu ya
wanawake walisema walifika kileleni mara ya
mwisho walipofanya ngono, hii inamaanisha
ni hesabu ya ajabu hata mtoto wa darasa la
pili anajua imekosewa, na inamaanisha
asilimia 21% ya wanaume walidanganywa na
milio ya kimahaba ya wenza wao na
wakaamini kuwa waliwafikisha.
Iwapo tukichukulia na wewe utaki kuwa
mmoja wa hao waliodanganywa na mbaya
zaidi hawakua na ufahamu wowote kuwa
wamedanganywa, waulize wanaume
wamekuandalia dalili zinazoonyesha na
zitakazokuwa zinakuonyesha iwapo
unadanganywa.
Tuweke hivi, "Ooooh, hapo hapo usiitoe...
ooh, naisikia mpaka kichwani!", mwanamke
huwa anasema hivi akiwa anakandwa miguu
yake na maji ya moto baada ya safari ya
miguu ya mwendo mrefu, "OH... USI....,
JAMA... UNA.... NDIO...., HAPO HA...", hivi
ndomwanamke anavyosema ukiwa
unashughurika vizuri kitandani, akiweza
kuunganisha sentensi nzima na ikaeleweka
ujue anakuzuga, maana akifikia mshindo akili
yote inakua kama haifanyi kazi vizuri na
ikitokea akiwa analia kama kwenye video za
ngono wanavyolia, ujue anakusubiri umalize
mambo yako aanze kukuelezea shida zake
alizonazo, wale wa kwenye video za ngono
huwa wana igiza, mwanamke wa kihalisia wa
kawaida huwa hawafiki kileleni iwapo
mwanaume anatumia nguvu ovyo ovyo bila
ya mpangilio na msuguano wowote
unaohusisha kinembe.
Kwa mwanamke ili afike mshindo, inabidi awe
na umakini mkubwa na kuweka hisia zake
zote kwenye msuguano na msisimko
anaoupata mwilini mwake ili afike mshindo,
kubusu na kutekenya hawezi kuvifanya kwa
wakati huo ambao anaweka mawazo yote
mahala hapo, ukiona unataka kumpiga denda
akageukia pembeni ujue mambo ndo
yamemkolea vizuri na sio vinginevyo.
Ulishawahi kujiangalia kwenye kioo wakati
uume wako unagombana na mikono yako,
najua ulishawahi kujisugua, nani ambae
hajawai..., hakuna!, na unaelekea yale
mambo kumwagika, unajua usowako
unakuwaje?, uso wako unakuwa kama vile
unataka kutolewa maisha au kama unataka
kulia vile, binadamu wote wako sawa upande
wa kihisia, hata wanawake pia!, akiwa na
sura nzuri wakati ndo anafika mshindo ujue
hapo hakuna!, anatakiwa kuwa na sura
ambayo haina mvuto kama anataka kulia na
sio awe bado anapendeza kama ndo anaingia
harusini.
Mwanamke kufika kileleni kwa stairi ya
kutoka kwa nyuma ni sawa na wewe kufika
mshindo huku mwanamke akiwa anakuchzea
kwa mikono.
Sijasema haiwezekani, ila inahitaji ufundi
mkubwa na dereva inabidi awe anaijua kwa
umakini mkubwa njia yake anayopita, ili
manbo hayo yaweze kutokea, kwa hio
nitakua na wasiwasi kama mwanamke
akisema kafika kileleni kwa kutumia hio
stairi, mwanamke anauwezo mkubwa wa
kufika kileleni iwapo anafanya mapenzi ila
yeye ndo yuko juu ya mwanaume kashika
msukani, au kwa stairi ya missionary
inayoitwa Coital Alignment Technique kwa
kifupi The Cat, najua huijui... i gugo(google)
na utaiona.
Mwanamke akiwa amefika kileleni, moyo,
presha ya damu na mdundo vyote vinakuja
juu ambavyo inamaanisha lazima jasho
limtoke kwa aina yeyote ile na mwili unakua
na majimaji kwenye ngozi, hii ni moja ya
dalili amekwea mlima na kufika kileleni kwa
furaha
at
 Unahisi unaweza kutofautisha kama
umemfikisha kweli au anapiga kelele
za kimahaba za kukuzingua?,
mwanamke ambaye zamani alikua
anamzingua mpenzi wake kwa
kelele za kimahaba anatuelezea
kwanini ni vigumu kuliko unavyofikili
kutambua na utatambuaje!.

#1; Unamwelewa
#2; Anakubusu bila kuacha
#3; Uso wake unakuwa mzuri
#4; Unafanya mapenzi na mpenzi wako
kwa stairi ya kimbwa mbwa
#5; Ngozi yake inakuwa nyororo na kavu

No comments:

Post a Comment