Thursday, 10 October 2013

NAKAAYA SUMARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME,,NA HII NDIO PICHA YAKE

Msanii wa hit ya "Mr Politician" Nakaaya Sumari, amepata mtoto wa kiume aliejifungua Oct 5,na amempa jina
Kai Samwel kwasababu anaamini kuwa ni mtoto huyo ni mfalme kwake. Nakaaya ameamua kuonyesha picha ya mtoto huyo lakini ikionyesha sehem za miguu pekaa.


 "On the 5th of Oct. God blessed me with a son. I named him Kai Samuel. For he is King. I too get to be called a mother. Its the best feeling in the world... a love i cant explain. May our father in heaven sheild you my son. And may you serve him all of your days. In Jesus name". ameandika Nakaaya kupitia ukurasa wake wa facebook

No comments:

Post a Comment