Thursday, 10 October 2013

PICHA ZAWACHEZAJI WA YANGA WALIPOTUA SALAMA MJINI BUKOBA, TAYARI KWA MPAMBAO NA KAGERA SUGAR JUMAMOSI HII


 
Mapema Asubuhi hii Ndege ya Precision Air ikiingia kwenye uwanja wa Ndege wa Bukoba, kuwaleta wachezaji wa Yanga ambao wanatarajia kucheza mchezo wao na Wenyeji Kagera Sugar kesho kutwa Jumamosi.
 
Wachezaji wa Yanga wakishuka, mbele ni Mbuyu Twite wakishuka uwanja wa Ndege Bukoba
 
Nizar Khalfani nae yupo kwenye kikosi
 
Wachezaji wakiendelea kushuka kwenye ndege
T
ayari wamekanyaga Ardhi ya Bukoba
 
Kama kawaida: kushoto ni Khalfan Ngassa kulia ni Niyonzima
 
Picha ya Pamoja Viongozi na wachezaji
 
Dida kushoto akipata picha ya pamoja na wenzake
 
Kocha mkuu wa timu ya Yanga
 
Asante tumefika salama kazi ni moja ...ushindi ni muhimu Kaitaba
 
Niyonzima akiwa na Mdau wake wa bukobasports.com
 
Kelvin Yondani akifurahia baada ya kutua Bukoba asubuhi hii.
 
Bw. Jamal kalumuna kushoto akiwa na kiongozi wa Yanga
Smart Hotel
 
Wachezaji wakiingia Smart Hotel



No comments:

Post a Comment