Wednesday, 2 October 2013
HAPPY BIRTHDAY GODLISTEN KITOMARI
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha siku ya leo nimetimiza miaka 22 toka nimezaliwa nikiwa mzima wa afya na furaha zaidi,kwani bila mungu nisingekuwepo hapa.
Pia nawashukuru wazazi Baba na Mama kwa kunipa malezi mema kwani bila wao nisingekuwepo hapa leo,,,,najivunia mama godlisten kwa kuzaa mtoto mwema na mwenye hekima kwa kila mtu,ANSANTE MAMA ANGU.
Ningependa kuwashukuru familia yetu yote akiwemo dada angu Pendo na mdogo angu Emanuel Pamoja na ndugu zangu,marafiki zangu wote na majirani kwa kunionyesha upendo.
Namuomba mungu anipe maisha marefu zaidi mimi na familia yetu wote pamjo na wewe.
ANSANTE MUNGU.
HAPPY BIRTHDAY GODLISTEN KITOMARI
Labels:
news
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment