Thursday, 10 October 2013

MTOTO WA BHAKRESA AFANYA KUFURU,,ANUNUA GARI JIPYA KAMA LA MMILIKI WA MANCHESTER CIYT,


2 
Mwandishi Bin Zubery http://bongostaz.blogspot.com ambae ndio alipata ruhusa ya kulipiga hili gari picha ameandika ‘Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England imeonekana leo Dar es Salaam lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa ambapo vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili.
1
8
7Kutoka Manchester mpaka Dar es salaam
3
Kwenye picha hapa juu ni Dereva.
6
Bin Zubery
5
Unaambiwa ni ‘oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa’

4

No comments:

Post a Comment