BARACK OBAMA ASHUSHWA NAMBA MOJA YA LIST YA MOST POWERFULL 2013,VLADIMIR PUTIN AONGOZA
Mtandao
maarufu kwa kutoa list mbalimbali ikiwemo ya watu matajiri duniani,
wakati huu wametoa list ya watu wenye nguvu sana duniani. Mwaka jana
namba moja alikuwa rais wa taifa kubwa dunia Barrack Obama. Mwaka huu
mambo yamekuwa tofauti kwa kumuona bwana Obama akishuka kutoka kwenye hiyo nafasi yake.
Watu wengine maarufu waliopo kwenye top five ni Xi Jinping
mwenyekiti wa chama cha kikomunisti cha China,Pope Francis,Angela Merkel
kutoka Ujerumani na Vladimir Putin kutoka Russia ambaye ndiyo namba
moja akifuatiwa na Barack Obama namba mbili.
![Untitled](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/10/Untitled1.png)
No comments:
Post a Comment