![Diamond xxl](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/10/Diamond-xxl.jpg)
‘Hisia
zangu zapelekea kuandika haya nikiwa na uzuni ndani yake kwa kuwa muda
nilioutmia na akili nliotumia dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana
aina budi namwachia Mungu pia….Imani iliyo ndani yangu nikiamini kuwa
kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka Upya, Mwenyezi Mungu Atanijenga
Upya na kuwaandalia kitu kipya hivI karibuni’ – Diamond
‘Hii ni changamoto kwangu na Kuweza kujua sheria za Muziki wangu na kusimamia Haki zangu’
No comments:
Post a Comment