Ziara hiyo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kifo cha Baba wa Taifaikiwa ni miaka 14 toka afariki dunia tarehe kama ya jana mwaka 1999.
HIZI NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO YA SAFARI HIYO. Mkufunzi wa Ajtc Madam Verediana
Wanafunzi wakiwa safarini kuelekea Tarangire
Baada ya kufika Tarangire
Mkufunzi wa AJTC Lucas Modaha mwenye sweta la kijivu akiwa na wanafunzi wakeMyama Ngiri anaepatikana Tarangire
Moja ya Mbuyu ulioasiliwa na Tembo kwakuuchuna ili kujipatia majimaji
Kichuguu
Mbuni dume
Wanachuo wakipata chakula baada ya kufika eneo la Piknic site eneo maalumu pakupumzikiwa mkiwa katikati ya mbuga ya Tarangire.
Watalii wa kigeni nao walikuwepo
Kutoka kushoto ni Mmiliki wa Blogo ya kitomixnews Godlisten anaefata ni Emelda,,Elizabeth..na GERALD wakiwa katika eneo la Piknic Site.
Kutoka kushoto Mkufunzi wa Ajtc Madam Veredia,God na
Lucas modaha
Picha ya pamoja(Piknic site)
Kutoka kushoto ni Dina,Kyani na emelda
Cameraman wa Multimedia production akipiga picha na fuvu la Tembo
Makazi ya watu katika mbuga ya Tarangire
Baada ya kutoka tarangire waliweza kufika mpaka MESERANI sehemu wanapopatika Nyoka ,Ndege Mamba,Nyani,Ngamia pamoja na eneo la MASAI CULTURE
Mamba Anaepatikana Meserani
Moja ya nyumba ya kimasai inayopatikana ndani ya jumba la masai culture(Meserani)
Sanamu za kimasai
Godwilly,,Margreth,,wakiwa katika usafiri wa ngamia.
Lucas modaha akiwa kwenye usafiri wa Ngamia
Madam Verediana akiwa na Mhifadhi wa Tarangire
Kiongozi wa Darasa la selous Peter akiwa katika nyumba ya kimasai
Picha ya pamoja wanachuo wa (Ajtc)Tarangire getini
Rais wa Ajtc George silange
PICHA NA ELBARIKI MADIHI
No comments:
Post a Comment