Thursday, 31 October 2013

PICHA ALIZOTOA KARRUECHE KITHIBITISHA KUWA BADO YUPO NA CHRIS BROWN




Aka kama hakuwa mahakamani na Chris Brown wakati anasomawe  mashtaka ya kupiga mtu hivi karibuni, Mpenzi wa muda mrefu wa Chris Brown, Karrueche anapenda ufahamu kuwa uvumi wa yeye na Chris Brown kuachana sio kweli na kwamba bado wapo pamoja
 Picha hizi alizosambaza Karrueche kwenye Instagram zinaonyesha ukaribu wake na Chris Brown Kwa sasa na jinsi mapenzi yalivyo kolea.



No comments:

Post a Comment