RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA MJENGONI DODOMA LEO..JIONEE PICHA TOFAUTI
Wabunge
wapya walioingia mjengoni msimu huu ni pamoja na Mbunge Ridhiwani
Kikwete kutoka jimbo la Chalinze na mbunge Godfrey Mgimwa kutoka jimbo
la Kalenga leo wameapishwa rasmi kwenye Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Hizi
ni picha mbalimbali zinazomuonyesha Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa
wakiapishwa huku wakishuhudiwa na wabunge, mawaziri na baadhi ya ndugu
wa karibu wa familia zao.
No comments:
Post a Comment