DEMU
wa Samir Nasri amemwaga matusi ya nguoni baada ya bwana wake,
anayechezea klabu ya Manchester City kutemwa katika kikosi cha timu
ya taiga ya Ufaransa kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia.
Kiungo
huyo mwenye umri wa miaka 26 ametemwa kwenye kikosi cha Didier
Deschamps - ikifikiriwa ni kwa sababu za utovu wa nidhamu na Anara
Atanes ameonyesha hisia zake kwenye Twitter.
Ameposti
hivi: 'F*** france and f*** Deschamps! What a s*** manager!'(matusi
ambayi tumeona tusiyatafsiri ili kupuguza makali yake).
Bibi na bwana: Nasri akiwa na Adana Atanes na chini ndiyo tweet yake
KIKOSI CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA;
Makioa: Mickael Landreau (Bastia), Hugo Lloris (Tottenham), Steve Mandanda (Marseille).
Mabeki:
Lucas Digne (Paris Saint-Germain), Patrice Evra (Manchester United),
Laurent Koscielny (Arsenal), Eliaquim Mangala (Porto), Mamadou Sakho
(Liverpool), Raphael Varane (Real Madrid), Mathieu Debuchy (Newcastle),
Bacary Sagna (Arsenal).
Viungo:
Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain), Rio Mavuba (Lille), Paul Pogba
(Juventus), Moussa Sissoko (Newcastle), Yohan Cabaye (Paris
Saint-Germain), Clement Grenier (Lyon), Mathieu Valbuena (Marseille).
Washambuliaji:
Loic Remy (Newcastle), Franck Ribery (Bayern Munich), Karim Benzema
(Real Madrid), Olivier Giroud (Arsenal), Antoine Griezmann (Real
Sociedad).
Wachezaji wa akiba: Stephane
Ruffier (Saint-Etienne), Loic Perrin (Saint-Etienne), Benoit
Tremoulinas (Saint-Etienne), Morgan Schneiderlin (Southampton), Maxime
Gonalons (Lyon), Remy Cabella (Montpellier), Alexandre Lacazette (Lyon).
No comments:
Post a Comment