Balaa gain
hili: Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akiwa ameshika kichwa
baada ya timu take kulazimishwa safe ya bila kufungana na Elche usiku
huu. Barcelona inaendelea kushika nafasi ya pili kwa points zake 86 za
mechi 37, nyuma ya Atletico yenye pointi 89 za mechi 37 pia, wakati Real
yenye 84 za mechi 37 ya tatu.
No comments:
Post a Comment