Mwanafunzi mmoja alikuwa amekaa kwenye daladala anaandika sms,huku ameshika begi lake.
Dogo alipogundua anachunguliwa akaamua kubadilisha sms akaanza kuandika:
"Yule
nyoka uliyenipa inakaa hujamtoa meno ya sumu,hapa nilipo anasumbua
kwenye begi anataka kutoka,sijui nifanyeje na alivyo mkubwa akitoka
ataleta taabu coz niko ndani ya matatu."...
Mzee kuona vile akaanza kusogea pembeni.
Dogo alipoona mzee anababaika akachukua begi na kumrushia...Mzee akaruka dirishani fasta huku akipiga kelele,"Mamaae nyokaaaaa!....nakufa mieee!
No comments:
Post a Comment