Saturday, 17 May 2014

HIKI NDIO CHANZO CHA KIFO CHA MWIGIZAJI WA BONGO MOVIE ADAM KUAMBIAN

Adam Kuambiana
Habari zilizoifikia Swahiliworldplanet muda huu ni kuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini ambaye pia ni director Adam Kuambiana Amefariki dunia muda mchache uliopita baada ya kuanguka ghafla akiwa location. Chanzo makini ambacho pia ni star mkubwa wa filamu nchini kimeitumia ujumbe SWP uliosomeka "msanii Adam Kuambiana amefariki dunia sasa hivi, alikuwa location kaanguka ghafla, maiti ipo hospital ya Marie Stopas, Mwenge, Dar es salaam. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen.

No comments:

Post a Comment