Wednesday, 28 May 2014

ALICHOKIFANYA RAIS OBAMA HAKUNA RAIS MWINGINE ANAEWEZA KUJARIBU..JIONEE HII VIDEO


 Hivi karibuni Raisi mwenye guvu zaidi duniani na maadui wengi kuliko maraisi wote Barack Obama aliamua kutembea mtaani kama raia wa kawaida. Alionekana akicheka, kusalimia watu na
hata kusimama na kupiga story na baadhi ya wakazi wa jiji la Washington. Hii sio kitu cha kawaida kwa Raisi wa taifa kubwa kama Marekani kuonekana akirandaranda mtaani kama mwananchi wa kawaida, Swali ni Je Raisi wetu mheshimiwa J. kikwete anaweza kufanya hivyo? Ni swali tu.

No comments:

Post a Comment