Leo Gazeti Maarufu la Mwananchi wamechapisha habari kuhusu mume wa
Mwimbaji maarufu wa music wa Dini ama Injili kumbaka mara tatu mdogo wa
Mke wake ambae ana miaka 17 lakini wamesita kutoa jina la Mwanamuziki
huyo Maarufu , Haya wadau wenye kujua Ukweli kuhusu Mwanamuziki huyo ni
nani fungukeni hapa kwenye Comments
No comments:
Post a Comment