Kanye West na kim Kardashian wameachia picha za harusi yao iliyoripotiwa
kufanyika siku ya jumamosi , May 24 2014, Florence Italy.
Pastor Rich Wilkerson Jr kutoka Northa Miami ameripotiwa kuwafungisha ndoa wawili hao.
Kanye na Kim walianza ku-date mwaka 2012
Picha hizi zimetolewa wa mara ya kwanza kupitia E News ambayo ni sehemu ya mtandao unaorusha kipindi cha Keeping Up With The Kardashians.
No comments:
Post a Comment