Mchora mipango: Kocha Diego Simeone akiwa ameinuliwa juu na wachezaji wake kushangilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga ambao ni wa kwanza kwao baada ya miaka 18, kufuatia safe ya 1-1 na Barcelona jana Uwanja wa Camp Nou
![Spraying: Players celebrate with the traditional spraying of champagne](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/05/18/article-2631551-1DF2DB2800000578-376_964x624.jpg)
Wachezaji wakishangilia kwa kucheza, kuimba, kuruka na kumwagiana shampeni
![No trophy: The players were not able to celebrate with the La Liga trophy because Spanish FA president Javier Tebas could not make it to the game](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/05/18/article-2631551-1DF307B100000578-180_964x569.jpg)
Pati bila Kombe: Wachezaji wakishangilia bila Kombe kwa sababu Rais wa FA ya Hispania, Javier Tebas hakutokea kwenye mchezo huo
![Filling the streets: Atletico Madrid fans hit the Neptuno fountain to celebrate after their club won the La Liga title by drawing 1-1 with Barcelona in the Nou Camp](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/05/18/article-2631551-1DF4150D00000578-30_964x642.jpg)
Mashabiki wa Atletico Madrid walifika eneo la Neptuno kushangilia ubingwa wao
![Singing and dancing: Supporters celebrate their first title in 18 years](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/05/18/article-2631551-1DF3AB9E00000578-65_964x642.jpg)
Kuimba na kucheza: Mashabiki wakishangilia taji la kwanza la La Liga baada ya miaka 18
No comments:
Post a Comment