Monday, 12 May 2014

VIDIC ALIVYOWAAGA MAN UNITED KWA KUMWAGA DAMU

BEKI Nemanja Vidic ameaga Manchester United huku akibubujikwa damu baada ya kugongana na mchezaji wa Southampton, Rickie Lambert timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England.
Vidic, ambaye anaondoka United, katika mchezo wa mwisho alipewa pogo na Lambert katika harakati za kuokoa.
Kufuatia pogo hilo, mpira ukaenda kwa Steven Davis, ambaye alimtengenezea Lambert nafasi ya kufunga.
Damu tupu: Nemanja Vidic (katikati) akilalamika kwa refa Mike Dean baada ya kupewa pigo na Rickie Lambert hadi kutokwa damu
Spitting blood: Vidic dispenses with his tissue as he leaves the field
Danny Welbeck akimtazama kwa huruma Vidic anayejifuta damua

No comments:

Post a Comment