GHANA imewajumuisha Michael Essien na Kevin-
Prince Boateng katika kikosi cha awali cha
wachezaji 26 kwa ajili ya Fainali za Kombe la
Dunia.
Kikosi hicho kitapunguzwa na kubaki wachezaji
23 baada ya mchezo wa kirafiki na Uholanzi Mei
31, ambacho ndiyo watakwenda Brazil.
Essien na Boateng wameitwa baada ya kurejea
kwenye soka ya kimataifa mwaka jana, kufuatia
awali kuomba kujipumzisha kuichezea timu
hiyo.
Ghana ipo Kundi G pamoja na Marekani,
Ujerumani na Ureno.
Makipa: Stephen Adams (Aduana Stars), Fatau
Dauda (Orlando Pirates), Adam Kwarasey
(Stromsgodset)
Mabeki: Harrison Afful (Esperance), Jerry
Akaminko (Eskisehirspor), John Boye (Stade
Rennes), Samuel Inkoom (Platanias), Jonathan
Mensah (Evian Thonon Gaillard), Daniel Opare
(Standard Liege), Jeffrey Schluup (Leicester
City), Rashid Sumaila (Mamelodi Sundowns)
Viungo: David Accam (Helsingborg), Afriyie
Acquah (Parma), Albert Adomah
(Middlesbrough), Emmanuel Agyemang Badu
(Udinese), Kwadwo Asamoah (Juventus),
Christian Atsu (Vitesse Arnhem), Andre Ayew
(Olympique Marseille), Michael Essien (AC
Milan), Rabiu Mohammed (Kuban Krasnodar),
Sulley Muntari (AC Milan), Mubarak Wakaso
(Rubin Kazan)
Washam uliaji: Jordan Ayew (Sochaux), Kevin
Prince Boateng (Schalke 04), Asamoah Gyan
(Al Ain), Abdul Majeed Waris (Valenciennes).
Monday, 12 May 2014
ESSIEN NA BOATENG WAITWA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA GHANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment