Shindano la miss Albino limefanyika jijini mwanza ili kumpata mwakilishi ambaye atawaiwakilsha mwanza katika shindano la miss Albino Tanzania.
Washiriki wakiingia ukumbi wa Gold Crest kwa ajili ya kuanza shindano.
Kulwa mkwandule ambaye ndiye mwenye jukumu la kuwavalisha miss albino katika mashindano yote Tanzania.
Warembi pia nao walikuwepo
Waliofanikiwa kuingia Top 4
Jaji wa shindano hilo akimtangaza mshindi
Wageni
Wanafunzi wakitoa burudani
Majaji
Mpiga picha wa
STARV TV Elbariki Madihi akichukua matukio yote kwa ajili ya kipindi cha Sanaa na urembo.
STARV TV Elbariki Madihi akichukua matukio yote kwa ajili ya kipindi cha Sanaa na urembo.
Mtangazaji wa kipindi cha Sanaa na Urembo Godlisten Kitomari akiwa Red capeti kwa ajili ya mahojiano na wageni wanaoingia ukumbini..
Mshindi wa Taji la miss albino Mwanza Zawadi Dotto (Miaka 17)
Wageni
MC Emanuel sharali
Mgeni rasmi katika shindano hilo Katibu tawala wilaya ya nyamagana Marcele Mayala aliyemwakilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Wageni
Picha ya pamoja na washindi
Washiriki wakipita jukwaani
Mshindi wa kwanza mpaka wa tatu
Shindano la Miss albino kwa mara ya kwanza limeanza kufanyika mwaka 2015 ambapo mpaka sasa mikoa ya Dar es salaam na Arusha yamekwishafanyika na kupatikana washindi ambao watachuana kumpata mshindi wa MISS ALBINO TANZANIA.
.............Kwa matukio ya Video usikose kutazama kipindi cha Sanaa na urembo Juma Nne ijayo saa 12:30 jioni katika channel ya Star Documetary inayopatikana katika king"amuz cha Continental
Pia waweza nicheku facebook kwa kuandika Godlisten P kitomari na Instagram ni Kitomix_the_one ili upate habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
No comments:
Post a Comment