Haya ndiyo mavazi wanayovaa wahudumu wa ndege kujikinga na Ebola
Ugonjwa
wa Ebola umelipuka sana huko Africa magharibi na umeua watu wengi sana.
Hivi sasa mambo mengi yanafanywa ili kukinga watu dhidi ya maambuzi
mampya. Njia moja wapo ni kutenga na kulifunga eneo lolote ambalo lina
mgonjwa wa Ebola. Lakini hivi ndivyo wafanyakazi wa ndege za Africa
magharibi wanavyovaa ili kujikinga.
No comments:
Post a Comment