Analia:
Kocha Msaidizi Ryan Giggs akiwa ameshika kichwa akilia kwa uchungu
mwishoni mwa mchezo huo, huku kocha Louis van Gaal akiwa haamini macho
yake
KOCHA
Louis van Gaal ameendelea kuogelea katika bwawa la maji moto Manchester
United, baada ya usiku huu kfungwa na Mk Dons ya Daraja la Kwanza mabao
4-0 katika michuano ya Kombe la Ligi, maarufu Capital One.
Mabao
yaliyomtia machungu Van Gaal leo yamefungwa na Will Grigg dakika ya 25
na 63 na Benik Afobe anayecheza kwa mkopo kutoka Arsenal dakika ya 70 na
83.
Kocha Msaidizi Ryan Giggs alionekana kufuta machozi baada ya bao la tatu, akiwa kwenye benchi na bosi wake, van Gaal.
Kikosi
cha MK Dons: Martin, Baldock, McFadzean, Kay, Lewington, Alli, Potter,
Carruthers/Green dk61, Reeves, Bowditch/Powell dk56 na Grigg/Afobe dk68.
Manchester United: De Gea, M.Keane, Evans, Vermijl 5, Janko/Perrara dk46, Anderson, Kagawa/Januzaj dk20, Powell/Wilson dk57, James, Hernandez na Welbeck.
Manchester United: De Gea, M.Keane, Evans, Vermijl 5, Janko/Perrara dk46, Anderson, Kagawa/Januzaj dk20, Powell/Wilson dk57, James, Hernandez na Welbeck.
![Unbelievable: United players stand shocked after MK Dons scored to make it 2-0, but worse was to come for Louis van Gaal's men](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/26/1409086078124_wps_8_SPT_GCK_260814_Football_C.jpg)
Wachezaji wa United wakiwa hoi baada ya kipigo
![Behind: United fans react angrily to going one behind as League One MK Dons celebrate in front of them at stadiummk after the first goal](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/26/1409084046174_wps_49_MK_Dons_players_celebrate.jpg)
![Easy pickings: Grigg chests the ball home for MK Dons' second goal past De Gea after Greeves' deep cross after half-time](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/26/1409086138302_wps_11_MILTON_KEYNES_ENGLAND_AUG.jpg)

Wachezaji wa MK Dons wakishangilia bao lao la kwanza
![Easy pickings: Grigg chests the ball home for MK Dons' second goal past De Gea after Greeves' deep cross after half-time](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/26/1409086138302_wps_11_MILTON_KEYNES_ENGLAND_AUG.jpg)
Grigg akimtungua kipa De Gea
No comments:
Post a Comment